MC Kajuna
MC Kajuna

MC Kajuna

Master of Ceremony (MC) Dar es Salaam 3 services

Services

3 available
MC wa Sherehe na Matamasha (Events & Entertainment MC)

200,000 TZS

View Details

MC wa Sherehe na Matamasha (Events & Entertainment MC)

Huduma ya kuendesha birthday, matamasha, na sherehe mbalimbali kwa burudani ya hali ya juu. MC Kajuna hujenga vibe ya tukio, kushirikisha audience na kuhakikisha kila mtu anafurahia tukio kikamilifu.v

1 Hour Tap for details →
MC wa Matukio ya Kampuni (Corporate Events MC)

600,000 TZS

View Details

MC wa Matukio ya Kampuni (Corporate Events MC)

Huduma ya MC kwa matukio ya kikazi kama semina, uzinduzi wa bidhaa, mikutano na gala dinners. MC Kajuna huhakikisha professionalism ya hali ya juu, mawasiliano rasmi na uendeshaji wa tukio kwa mpangilio unaovutia na wenye hadhi.

1 Hour Tap for details →
MC wa Harusi (Wedding MC)

1,500,000 TZS

View Details

MC wa Harusi (Wedding MC)

Huduma ya kuendesha sherehe ya harusi kwa ustadi mkubwa, kuhakikisha ratiba inaenda vizuri kuanzia mapokezi hadi mwisho wa tukio. MC Kajuna huleta burudani, ucheshi wa kiwango, na mawasiliano bora na wageni ili kufanya siku yako iwe ya kipekee na isiyosahaulika.

Full Day Tap for details →

Gallery

+1

About

MC mwenye mvuto, ucheshi na uwezo wa kushika hadhira, MC Kajuna anakuletea burudani ya kiwango cha juu na uendeshaji wa tukio lako kwa weledi mkubwa. Akiwa na uzoefu katika sanaa, uigizaji na uanamitindo, ana uwezo wa kuwasiliana na wageni kwa ufasaha na kuleta hali ya kuvutia katika kila tukio. Kuanzia harusi, sherehe za birthday, matukio ya kampuni (corporate events), uzinduzi wa bidhaa hadi matamasha—MC Kajuna huhakikisha tukio linaenda kwa mpangilio mzuri huku akiwaburudisha wageni mwanzo hadi mwisho. ✨ Huduma unazopata: Uendeshaji wa tukio kwa weledi na kujiamini Mawasiliano bora na wageni Ucheshi na burudani ya kuvutia Mpangilio mzuri wa ratiba ya tukio Ushirikiano wa karibu na waandaaji 🎯 Fanya tukio lako likumbukwe milele na MC Kajuna!

Connect with Vendor

Sign in to contact this vendor and request quotes

Sign In

Don't have an account? Register

Verified Vendor

Identity & business verified